Kuhusu sisi
MALIMI ENTERPRISES
MALIMI ENTERPRISES ni jukwaa la kuwasilisha na kufuatilia maombi ya huduma za biashara kama Uwakala HaloTel, Lipa Namba HaloTel, na Lipa Namba Vodacom M-Pesa.
Kupitia akaunti yako unaweza:
- Kuwasilisha maombi na nyaraka
- Kufuatilia status ya ombi
- Kuona balance / posho na kuomba kutoa pesa
- Kuwasiliana na admin kupitia chat
Mawasiliano: 0613309558