MALIMI ENTERPRISESHUDUMA ZA BIASHARA
Sheria

Terms of Service

Ilisasishwa: Oktoba 2026

1. Kukubali

Kwa kujisajili au kutumia MALIMI ENTERPRISES unakubali masharti haya.

2. Akaunti

Unawajibika kwa usiri wa password yako. Akaunti inaweza kuidhinishwa, kukataliwa, au kuzuiwa na admin kwa sababu za usalama au matumizi mabaya.

3. Huduma

Tunasaidia kuwasilisha na kufuatilia maombi ya huduma za biashara. Uidhinishaji wa mwisho wa huduma za mtandao (HaloTel/Vodacom) hutegemea taratibu za watoa huduma hao.

4. Malipo / posho

Posho huwekwa na admin. Utoaji pesa unahitaji uthibitisho wa admin baada ya malipo ya manual.

5. Maudhui na nyaraka

Unathibitisha kuwa nyaraka unazopakia ni halali na ni zako. Matumizi ya bandia yanaweza kusababisha kufutwa kwa akaunti.

6. Kufuta akaunti

Unaweza kufuta akaunti na data zako wakati wowote kupitia Profile → Futa akaunti.

7. Mabadiliko

Tunaweza kusasisha Terms; toleo jipya litaonekana kwenye ukurasa huu.


Support / Customer Care