Privacy Policy
Ilisasishwa: Oktoba 2026
1. Data tunazokusanya
Jina, namba ya simu, nyaraka unazopakia (kitambulisho, TIN, n.k.), maombi yako, miamala ya wallet, na ujumbe wa chat/support.
2. Jinsi tunavyotumia data
Kutoa huduma, kuidhinisha akaunti, kuchakata maombi, kulipa posho, usalama, na mawasiliano yanayohusiana na huduma.
3. Uhifadhi
Data huhifadhiwa kwenye database na storage salama (mf. Supabase). Password huhifadhiwa kwa njia ya hash, si plain text.
4. Kushiriki
Hatuzuii data zako kwa wahusika wa tatu kwa madhumuni ya masoko. Tunaweza kushiriki tu inapohitajika kisheria au ili kukamilisha huduma.
5. Haki zako
Unaweza kusasisha profile, kudownload ripoti ya miamala, au kufuta akaunti na data kupitia Profile → Futa akaunti.
6. Mawasiliano
Maswali kuhusu privacy: WhatsApp/simu 0613309558 au ukurasa wa Support.